MUUZAJI WA DUKA LA DAWA

Confidential Company - Singida,Tanzania

Posted on: April 14,2018


Job Description


1. Kuuza duka la dawa

Skills and Qualifications

 Awe amehitimu mafunzo ya awali ya uuzaji wa duka la dawa muhimu
 Awe anajua kusoma na kuandika.
 Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika uuzaji wa duka la dawa muhimu
 Awe tayari kuishi kijijini.


Job Details

Preferred Candidate

Job Ref: JOB5072 Years of Experience: 1-2
Job Location: Singida,Tanzania Residence Location:
Company Industry: Pharmaceutical Gender: Female
Job Role: Support Services Nationality: Unspecified
Employment Status: Full Time Education: Certificate
Employment Type: Contractor
Monthly Salary Range: Unspecified
Number of Vacancies: 1

Application Instructions

 Barua ya maombi ya kazi ikiwa na namba za simu za muombaji na ikieleza kiasi atakachotaka kulipwa kila mwezi,  Nakala ya Cheti cha kuhitimu mafunzo ya uuzaji wa duka la dawa muhimu.  Nakala ya vyeti vingine kama vipo  Nakala ya kitambulisho.  Na picha ya passport size. NB: Muuzaji hatapanga ila ataishi na kula nyumbani Barua itumwe kwa email address [email protected]

Send me Similar Jobs Save Share